NOTE: MAJIBU YA FOMU HII KWA ATAKAYE HITAJI WAZO LA MRADI BILA BUSINESS PLAN YAKE ATAAMBATANISHIWA YAFUATAYO.
- Njia mbali mbali za kuanzisha biashara au mradi huo
- Mikakati sahihi katika kuendesha mradi wako
- Changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa uendeshaji mradi huo
- Njia madhubuti za kuepuka au kukabiliana na changamoto hizo
- Faida za mradi wako.