TANZANIA BUSINESS AND PROJECTS PLANNERS
TBPP

PAYMENTS

  • PAY ATENTION ON THESE BEFORE MAKING PAYMENTS
  • EXTRA SERVICES
PAY ATENTION ON THESE BEFORE MAKING PAYMENTS

                          

                         NJIA YA KWANZA 

 
  i.  Jaza fomu yako husika, baada ya hapo TBPP itafanyia kazi fomu yako na ikikamilika, utatumiwa ujumbe kwenye simu yako kupitia namba utakayoijaza au kwenye barua pepe yako (e-mail address). Baada ya ujumbe huo utatakiwa ufanye malipo sahihi kulingana na huduma uliyohitaji.

 ii.  Baada ya kufanya malipo, HAKIKISHA UNAHIFADHI UJUMBE (MESSAGE) YENYE UTHIBITISHO WA MALIPO KUTOKA TIGO PESA AU M-PESA  kulingana na namba utakayotumia.

  iii. Baada ya kupokea ujumbe kutoka TBPP, Ingia tena kwenye website hii kisha tuma namba ya utambulisho wa muamala (TRANSACTION ID) kwenye fomu inayoitwa PAYMENTS CONFIRMATION FORM. Namba inayotumwa ni zile namba zinazotokea mwanzoni mwa SMS utakayotumiwa na tigopesa au Mpesa inayothibitisha kuwa pesa uliyotuma imepokelewa mahali husika. mfano wake ni huu [BX16IH980 Imethibitishwa tarehe……].

  iv.  Baada ya kutuma namba hiyo, TBPP itafanya uthibitisho wa malipo yako kwa muda mfupi sana nautatumiwa majibu ya huduma uliyohitaji kupitia barua pepe/email address utakayokuwa umeijaza kwenye fomu husika.
                                        

                                         NJIA YA PILI
1. Jaza fomu kulingana na huduma unayohitaji
2. fanya malipo kulingana na gharama halisi
3. tuma namba ya uthibitisho wa malipo/transaction ID, kisha subiri.
4. TBPP itafanyia kazi fomu yako na kufanya  uthibitisho wa malipo kisha utatumiwa kazi yako ilokamilika kupitia barua pepe utakayoijaza

NOTE: CHAGUA NJIA MOJA ITAKAYOKUWA NA UNAFUU KWAKO KATI YA HIZO MBILI

NB: MALIPO YOTE YAFANYIKE KUPITIA NAMBA 0716 766 881-TOGOPESA AU 0755 032 832-MPESA. Ili kuepuka usumbufu, Unapofanya malipo, hakikisha unaona jina …Adam Kagina.  Usitume pesa kama utaletewa jina tofauti na hilo. Pia usitume pesa yako kwenye namba yoyote ile tofauti na namba zilizotolewa katika website hii kwaajili ya miamala.

Kama Ukituma pesa zaidi ya kiwango husika, wasiliana nasi kwa kutuma ujumbe ulioambatana na namba yako ya simu kwenye sehemu ya MAONI au kwenye barua pepe yetu. Kiasi chote kilichozidi kitarudishwa kwenye namba yako ya simu kwa uaminifu na kwa haraka zaidi. 

EXTRA SERVICES
  • PAYMENTS FOR BUSINESS OR PROJECT IDEA
  • PAYMENTS FOR A BUSINESS PLAN
  • PAYMENTS FOR A BUSINESS IDEA WITH ITS BUSINESS PLAN ATTACHMENT
PAYMENTS FOR BUSINESS OR PROJECT IDEA

MCHANGANUO WA MITAJI NA MALIPO KWA HUDUMA HII YA BUSINESS IDEA

STARTING CAPITAL
[mtaji kuanzia]
ENDING CAPITAL
[mtaji kuishia]
PAYMENTS FOR TANZANIAN SHILING.
[Gharama]
 10,000 100,000 5,000
 110,000 300,000 10,000
 310,000 600,000 27,500
 610,000 800,000 35,000
 810,000 1,000,000 45,000
 1,100,000 2,000,000 45,000
2,100,000 4,000,000  75,000
4,100,000 6,000,000  100,000
6,100,000  8,000,000 140,000
 8,100,000 10,000,000 180,000
PAYMENTS FOR A BUSINESS PLAN
PAYMENTS FOR A BUSINESS IDEA WITH ITS BUSINESS PLAN ATTACHMENT